Mkaguzi Mkuu wa Ndani wa Serikali Mohamed Mtonga akifungua mkutano wa siku tatu wa wakaguzi wa ndani wa Halmashauri za Serikali za Mitaa na Sekretarieti za mikoa juzi jijini Dar es Salaam. Mkutano huo uliwajumuisha wakaguzi 165 kutoka mikoa yote ya Tanzania bara kwa lengo la kuwaelimisha juu ya miongozo ya ukaguzi wa ndani imetolewa hivi karibuni ili kuboresha ukuguzi wa ndani utakaoleta matokeo mazuri ya rasilimali na fedha za wananchi.
Baadhi ya washiriki wa mkutano wa wakaguzi wa ndani wa Halmashauri za Serikali za Mitaa na Sekretarieti za mikoa wakisikiliza kwa makini mada mbalimbali zilizokuwa zikitolewa juzi jijini Dar es salaam kwenye mkutano wa kuwaelimisha juu ya miongozo ya ukaguzi wa ndani imetolewa hivi karibuni ili kuboresha ukuguzi wa ndani utakaoleta matokeo mazuri ya rasilimali na fedha za wananchi. Picha zote na Tiganya Vincent-MAELEZO, Dar es Salaam