MKUTANO WA TANO WA WADAU NSSF

MKUTANO WA TANO WA WADAU NSSF
MKUTANO WA TANO WA WADAU NSSF
*ZAIDI YA HIFADHI YA JAMII: AJIRA, UJASIRIAMALI NA MICHEZO

Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) linapenda kuwatangazia wadau
wake kufanyika kwa Mkutano wa tano(5) wa Wadau wa NSSF.
Wapi: Simba Hall AICC- Arusha
Lini: Tarehe 5-7 Mei, 2015
Washiriki: Wadau wa NSSF (Waajiri na Wanachama)
Mkutano huo wa tano utakuwa mahususi kwa ajili ya kutathmini na kujadili
maendeleo na maboresho ya Sekta nzima ya hifadhi ya jamii pamoja na
mchango wake katika kuongeza ajira, kuchochoea ujasiriamali na kuboresha
michezo nchini.
Wadau wanaombwa kuendelea kujiandikisha kupitia tovuti ya Shirika :
www.nssf.or.tz
Kwa maelezo zaidi wasiliana na;
Meneja Kiongozi,
Idara ya Uhusiano na Huduma kwa Wateja
Simu ya Bure: 0800756773, Barua Pepe: info@nssf.or.tz