Mkutano wa Mapitio ya Mpango wa BRN

Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania, Prof. Benno Ndulu akichangia hoja wakati wa mkutano wa kupitia taarifa ya mwaka  ya utekelezaji wa Mpango wa Matokeo Makubwa sasa (BRN) uliofanyika Julai 23,  2014  katika ukumbi wa Mwalimu Nyerere Jijini  Dar es  Salaam. Kulia ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji na Umwagiliaji Mhandisi  Bashir Mrindoko. PICHA NA ISMAIL NGAYONGA- MAELEZO.

2.	Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue akichangia hoja wakati mkutano wa kupitia taarifa ya mwaka ya utekelezaji wa Mpango wa Matokeo Makubwa sasa uliofanyika Julai 23,  2014  katika ukumbi wa Mwalimu Nyerere Jijini  Dar es  Salaam. Kulia ni Waziri wa Katiba na Sheria, Dk. Asha- Rose  Migirona (katikati)  Mtendaji Mkuu wa Ofisi ya Rais- Usimamizi wa Utekelezaji wa Miradi  (PDB),  Bw. Omari Issa.

3.	Naibu Waziriwa Viwandana Biashara,   Janet Mbene akichangia hoja wakati mkutano wa kupitia taarifa ya mwaka  ya utekelezaji wa Mpango wa Matokeo Makubwa sasa uliofanyika l Julai  23,  2014 katika ukumbi wa Mwalimu Nyerere Jijini Dar es  Salaam. Kushoto ni Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), JumanneSagini.