Mkutano wa Mabalozi wa CCM Mjini Unguja…!

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein alipokuwa akizungumza na Mabalozi wa Chama cha Mapinduzi CCM Wilaya ya Mjini katika Ukumbi wa Salama Hall Bwawani Mjini Unguja akiwa katika ziara ya kuimarisha Chama katika Mikoa ya Unguja.[Picha na Ikulu.] 

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein akisalimiana na Viongozi wa CCM alipowasili katika viwanja vya Ukumbi wa Salama Hall Bwawani Mjini Unguja alipohudhuria katika Mkutano wa Mabalozi wa Chama cha Mapinduzi CCM Wilaya ya Mjini.[Picha na Ikulu.]

Baadhi ya Viongozi na Mabalozi wa Chama cha Mapinduzi CCM Wilaya ya Mjini wakiwa katika Mkutano uliohutubiwa na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein katika Ukumbi wa Salama Hall Bwawani Mjini Unguja[Picha na Ikulu.]