mkutano wa maadhimisho ya wiki ya utumishi wa umma

Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Rasilimali watu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma Dk. Faisal Issa (Kushoto) akijibu swali la muandishi wa Habari (hayupo pichani) kuhusu wajibu wa mtumishi wa Umma kwa jamii kulia ni Mathias Kabunduguru ambaye ni Mkurugenzi wa Sera. Mkutano huo ulifanyika leo katika ukumbi wa mikutano uliopo makao makuu ya ofisi hizo zilizopo jijini Dar es Salaam

Msemaji wa Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma Zamaradi Kawawa (kulia) akimkaribisha Naibu katibu Mkuu wa ofisi hiyo HAB Mkwizu (kushoto) ili aweze kuzungumza na waandishi wa Habari (hawapo pichani) kuhusu maadhimisho ya siku ya utumishi wa Umma ya Umoja wa Mataifa na Afrika ambayo itafanyika kuanzia tarehe 20 hadi 23 Juni mwaka huu katika viwanja vya mnazi mmoja jijini Dar es Salaam. Mkutano huo ulifanyika leo katika ukumbi wa mikutano uliopo makao makuu ya ofisi hizo.

Naibu katibu Mkuu wa Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma HAB Mkwizu (kushoto) akiongea na waandishi wa Habari (hawapo pichani) kuhusu maadhimisho ya siku ya utumishi wa Umma ya Umoja wa Mataifa na Afrika ambayo itafanyika kuanzia tarehe 20 hadi 23 Juni mwaka huu katika viwanja vya mnazi mmoja jijini Dar es Salaam. Kulia ni Msemaji wa Zamaradi Kawawa.Mkutano huo ulifanyika leo katika ukumbi wa mikutano uliopo makao makuu ya ofisi hizo.

aadhi ya wakurugenzi wa Idara kutoka Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma wakimsikiliza Naibu Katibu Mkuu wa ofisi hizo HAB Mkwizu (hayupo pichani) wakati akiongea na waandishi wa Habari kuhusu maadhimisho ya siku ya utumishi wa Umma ya Umoja wa Mataifa na Afrika ambayo itafanyika kuanzia tarehe 20 hadi 23 Juni mwaka huu katika viwanja vya mnazi mmoja jijini Dar es Salaam.Mkutano huo ulifanyika leo katika ukumbi wa mikutano uliopo makao makuu ya ofisi hizo.

Naibu katibu Mkuu wa Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma HAB Mkwizu akiongea na waandishi wa Habari (hawapo pichani) kuhusu maadhimisho ya siku ya utumishi wa Umma ya Umoja wa Mataifa na Afrika ambayo itafanyika kuanzia tarehe 20 hadi 23 Juni mwaka huu katika viwanja vya mnazi mmoja jijini Dar es Salaam.Mkutano huo ulifanyika leo katika ukumbi wa mikutano uliopo makao makuu ya ofisi hizo.

Naibu katibu Mkuu wa Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma HAB Mkwizu akiongea na waandishi wa Habari kuhusu maadhimisho ya siku ya utumishi wa Umma ya Umoja wa Mataifa na Afrika ambayo itafanyika kuanzia tarehe 20 hadi 23 Juni mwaka huu katika viwanja vya mnazi mmoja jijini Dar es Salaam.Mkutano huo ulifanyika leo katika ukumbi wa mikutano uliopo makao makuu ya ofisi hizo.

Baadhi ya waandishi wa Habari wakimsikiliza Naibu Katibu Mkuu wa Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma HAB Mkwizu (hayupo pichani) wakati akiongea nao kuhusu maadhimisho ya siku ya utumishi wa Umma ya Umoja wa Mataifa na Afrika ambayo itafanyika kuanzia tarehe 20 hadi 23 Juni mwaka huu katika viwanja vya mnazi mmoja jijini Dar es Salaam.Mkutano huo ulifanyika leo katika ukumbi wa mikutano uliopo makao makuu ya ofisi hizo.

Picha na Anna Nkinda – Maelezo