
Mbunge wa Ubungo, John Mnyika akizungumza na waandishi wa habari wakati wa mkutano wa jumuiya ya madola kujadili maswala ya Bunge, Serikali pamoja na vyama vya upinzani

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Wilson Mkama akizungumza na wana habari katika mkutano huo.

Mgeni Mwalikwa katika Mkutano wa jumuiya ya Madola aliyekuwa Rais wa Nchi ya Ghana, Jerry Rawlings kushoto akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana katika Mkutano wa Jumuiya ya Madola kujadili Bunge, Serikali pamoja na vyama vya upinzani katika jumuiya hiyo.