Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akiwasili kwenye ukumbi wa Kizota, Dodoma, akifuatana na viongozi wengine wa ngazi ya Juu wa CCM. Kulia ni Makamu Mwenyekiyi wa CCM (Zanzibar), Karume, Makamu wa Rais Dk.Gharib Bilal na kushoto ni Katibu Mkuu wa CCM, Wilson Mukama na Makamu Mweneyekiti wa CCM (Bara) Pius Msekwa.
Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akiongoza Mkutano Mkuu wa CCM leo Novemba 12. Kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa CCM (Zanzibar) Amani Abeid Karume na kulia ni Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Pius Msekwa.
Katibu Mkuu wa CCM, Wilson Mukama akisoma Taarifa ya Chama kwenye mkutano mkuu wa CCM, Kizota, Dodoma, Novemba 12, 2012.
Baahi ya wajumbe wakiwa kwenye mkutano huo leo. Kushoto ni Waziri wa Ujenzi, John Magufuli. (Picha Zote na Bashir Nkoromo).