MAELFU wakiwa wamefurika kwenye mkutano wa hadhara wa CCM uliofanyika kwenye VIwanja vya Jangwani, jijini Dar es Salaam. Mkutano huo ni wa kuwapongeza viongozi wa mashina na matawi waliochaguliwa katika uchaguzi wa CCM ulifanyika kwa ngazi hizo mkoani Dar es Salaam. (Picha na Bashir Nkoromo).
Watu kutoka Temeke wakiingia viwanja vya Jangwani