Mkurugenzi Mkuu Tanapa afungua warsha ya wahariri Morogoro

Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA), Alan Kijazi (katikati) akifungua warsha ya wahariri mjini Morogoro leo iliyoandaliwa na shirika hilo kuwajuza shughuli mbalimbali zinazofanywa na TANAPA.