Familia ya WANG’INGO na MZENA wa Dar na Iringa. Wanapenda kutoa taarifa ya Kumbukumbu ya wapendwa wao MR & MRS. ATILIO LUSINDE MWANG’INGO. Kutakuwa na mkesha wa kuwakumbuka marehemu hao Juni 29, 2012 kuamkia Juni 30, 2012 nyumbani Mburahati na misa ya kumbukumbu kanisa la Mburahati siku ya Jmosi saa 12 kamili asubuhi na kumalizia kwa chakula cha mchana Nyumbani kwao Mburahati Dar es Salaam.
Bwana ametoa na Bwana ametwaa. Jina la bwana lihimidime. AMEN
IMETOLEWA NA DOROTHY SENG’INGO WA DAR ES SALAAM