Mke Mume Wauwawa Kikatili, Wachunwa Ngozi Bunda

IMG-20141224-WA0066

Joseph Maduhu (70) ukiwa umeharibika na kutelekezwa baada ya kuuwawa katika Kijijji cha Mcharo, Wilaya ya Bunda mkoani Mara.

Joseph Maduhu (70) ukiwa umeharibika na kutelekezwa baada ya kuuwawa katika Kijijji cha Mcharo, Wilaya ya Bunda mkoani Mara.

Mwili wa Zawadi Maduhu ukiwa umeharibika vibaya na kutelekezwa baada ya kuuwawa katika Kijijji cha Mcharo, Wilaya ya Bunda mkoani Mara.

Mwili wa Zawadi Maduhu ukiwa umeharibika vibaya na kutelekezwa baada ya kuuwawa katika Kijijji cha Mcharo, Wilaya ya Bunda mkoani Mara.

MBWANA Joseph Maduhu (70) na mkewe Zawadi Maduhu (60) wote waazi wa kutoa Kijiji cha Macharo, Bunda Mkoani Mara, wameuwawa kikatili baada nyumbani kwao baada ya kuvamiwa na watu wasiojulikana na kukatwa katwa mapanga na kunyofolewa sehemu za miili yao.

Kwa mujibu wa taarifa ambazo mtandao huu umezipata mke na mume hao walipoteza maisha na miili yao kukutwa ikiwa imetelekezwa na kuharibika vibaya baada ya kutendewa unyama huo. Bwana Maduhu alikuwa akiwa na majeraha makubwa kichwani ya kukatwa mapanga na kuvuja damu nyingi tendo ambalo linahisiwa huenda limechangia kifo chake. Mwili wa Maduhu ulionekana umeharibika vibaya huku wadudu wakianza kuuzingira kwa kile kutelekezwa chini mara baada ya kuuwawa.
Taarifa zaidi zinasema uchunguzi wa awali ulioneshwa mwili wa mkewe baada ya kuuwawa ulikutwa ukiwa umenyofolewa baadhi ya viungo kama kiganja cha mkono wa kulia, titi la mkono wa kulia, kukatwa sehemu za siri na kuchunwa ngozi sehemu zote za usoni na

siri, kuchunwa ngozi ya sehemu ya makalio