Magari yaliyokuwa yakitumiwa na watalii wa ndani waliokuwa wakipanda kwenda kilele cha Shira yakiwa yameegeshwa baada ya kushindwa kuendelea na safari kutokana na ubovu wa barabara . |
Baadhi ya watalii wa ndani wakiwa eneo la kambi ya Tembo wakisubiri magari madogo ya hifadhi ya taifa ya mlima Kilimanjaro (KINAPA) kwa ajili ya kuwachukua kuwapeleka katika hifadhi hiyo. |
Safari ya kuelekea kilele cha Shira ikianza. |
Baadhi ya watalii wa ndani. |
Hali ya hewa katika eneo hili ni ya kubadilika . |
Watalii wa ndani wakielekea katika kilele. |
Wengine walikuwa na furaha mara baada ya kufika katika uwanda wa Shira. |
Wengine waliamua kupumzika njian kama anavyoonekana mwandishi James Paul wa ITV. |
Hatimaye magari yaliyokuwa yameshindwa kupita kutokana na ubovu wa barabara yalifanikiwa kupita na kupanda kuwachukua watalii wa ndani. Picha na Dixon Busagaga. |