Milima ya Uluguru Morogoro Juzi…!

Milima ya Uluguru Mkoani Morogoro kama inavyoonekana…! Nimetembelea Morogoro hivyo si sibaya tukakumbushana rasilimali inayoendelea itambulisha Morogoro.

 

Baadhi ya timu ya waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali vya habari waliokuwa Mkoani Morogoro kuripoti Tamasha la Jinsia Ngazi ya Wilaya linalofanyika Kijiji cha Mkambarani-nje kidogo ya Mjini wa Morogoro wakiwa na mwanakijiji (wa kwanza kushoto).