Mkuu wa Wilaya ya Moshi, Kippi Warioba akiongozana na Naibu Waziri wa Malisili na Utalii, Mhandisi Ramo Makani walipotembelea kijiji cha Mshiri katika wilaya ya Moshi kusikiliza Changamoto zinazo wakabili wananchi waishio kando ya Hifadhi ya Mlima Kilimanjaro.
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii,Mhandisi Ramo Makani akiwa na Mbunge wa Jimbo la Vunjo, James Mbatia katika mkutano wa wananchi katka kijiji cha Mshiri wilayani Moshi uliohusu Zaidi changamoto iliyopo katika eneo la Nusu Maili katka Hifadhi ya Taifa ya Mlima Kilimanjaro .
Baadhi ya wakazi wa Kijiji cha Mshiri wilayani Moshi waishio kando ya Hifadhi ya taifa ya Mlima Kilimanjaro waliofika kwa ajili ya kumueleza Naibu Waziri wa Malisli na Utalii,Mhandisi Ramo Makani changamoto zinazowakabili hususani eneo la Nusu Maili.
Baadhi ya Wakazi wa Kijiji cha Mshiri wilayani Moshi wakimsikiiza Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii,Mhandisi Ramo Makani (Haupo pichani ) alipozungumza nao.
Mbunge wa jimbo la Vunjo ilipo kijiji cha Mshiri ,James Mbatia akizungumza katika mkutano huo kuhusu Changaoto mbalimbali zinazowakabili wananchi kaika kijiji hicho.
Baadhi ya wakazi wa kijiji cha Mshiri wilani Moshi.
Mku wa wilaya ya Moshi , Kippi Warioba akizungumza katika mkutano huo.
Baadhi ya viongozi kutoka Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA) walioongozana na Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii,Mhandisi Ramo Makani kutembelea kijiji cha Mshiri,kutoka kulia ni Meneja Mawasiliano wa TANAPA, Pascal Shelutete,Meneja Utalii wa Tanapa.Bw Manase na Mhifadhi Ujirani Mwema KINAPA, Bi Hobokela Mwamjengwa.
Mwakilishi wa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Hifdhi za Taifa (TANAPA) Mtango Mtahiko akiwa na Mhifadhi Mkuu wa Hifadhi ya Taifa ya Kilimanjaro (KINAPA) Betrita Loibook katika mkutano wa Naibu Waziri wa Malisili na Utalii,Mhandisi Ramo Makani na wananchi katika kijiji cha Mshiri.
Mwakilishi wa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA) na Kaimu Mkurugenzi wa Uhifadhi wa TANAPA,Mtango Mtahiko akitoa salamu katika mkutano huo.
Baadhi ya Wananchi katika kijiji cha Mshiri.
Mhifadhi Mkuu wa Hifadhi ya Taifa ya Kilimanjaro (KINAPA) Betrita Loibook akizungumza jambo katika mkutano huo. Na Dixon Busagaga.