kutembelea Wizara ya Kilimo Mifugo na Uvuvi wakati wa Maonesho ya wakulima (Nanenane) ambayo kitaifa yanafanyika katika Viwanja vya Ngongo Mkoani Lindi.
Mgeni rasmi Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhandisi Greyson Lwenge akipata ufafanuzi kuhusuidara ya uzalishaji wa mifugo na masoko inavyofanya kazi mara baada ya kutembelea Maonesho ya wakulima (Nanenane) ambayo kitaifa yanafanyika katika Viwanja vya Ngongo Mkoani Lindi.
Mgeni rasmi Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhandisi Greyson Lwenge akipata ufafanuzi kuhusuidara ya
uzalishaji wa mifugo na masoko inavyofanya kazi mara baada ya kutembelea Maonesho ya wakulima (Nanenane) ambayo kitaifa yanafanyika katika Viwanja vya Ngongo Mkoani Lindi.
Mgeni rasmi Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhandisi Greyson Lwenge akipata ufafanuzi kuhusuidara ya
uzalishaji wa mifugo na masoko inavyofanya kazi mara baada ya kutembelea Maonesho ya wakulima (Nanenane) ambayo kitaifa yanafanyika katika Viwanja vya Ngongo Mkoani Lindi.
Mgeni rasmi Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhandisi Greyson Lwenge akipata ufafanuzi kuhusuchangamoto za masoko ya bidhaa zinazotengenezwa kwa ngozi kutoka kwa meneja wa Robi Leather Product Bi Rose Otieno mara baada ya kutembelea Maonesho ya wakulima (Nanenane) ambayo kitaifa yanafanyika katika Viwanja vya Ngongo Mkoani Lindi.
Mgeni rasmi Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhandisi Greyson Lwenge alipowasili kwenye
Maonesho ya wakulima (Nanenane) ambayo kitaifa yanafanyika katika Viwanja vya Ngongo
Mkoani Lindi.
Uvuvi kwa elimu wanayoitoa kwa wananchi kuhusu utunzaji wa malisho ambayo ni nyasi na mikunde kwa ajili ya mifugo kwani jambo hilo litawawezesha wananchi kuwa na mifugo yenye afya bora.
yanafanyika katika Viwanja vya Ngongo Mkoani Lindi.
viini lishe kama wanga, protini madini na vitamin. Faida Zingine ni kurutubisha ardhi hasa malisho aina ya mikunde sambamba na kuzuia mmomonyoko wa ardhi.