Mhadisi Geryson Lwenge Azindua Mradi Chemichemi ya Kisimeni Kilimanjaro.

Waziri wa Maji na Umwagiliaji ,Mhandisi Lwenge akizindua rasmi mradi wa maji katika kata Uru kaskazini.

Waziri wa Maji na Umwagiliaji ,Mhandisi Lwenge akizindua rasmi mradi wa maji katika kata Uru kaskazini.

. Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji safi na Usafi wa Mazingira mjini Moshi (MUWSA) Joyce Msiru ,akimuongoza Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhandisi Gerson Lwenge alipofika kwa ajili ya uzidunzi wa mradi wa chanzo cha maji cha Kisimeni .
Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji safi na Usafi wa Mazingira mjini Moshi
(MUWSA) Joyce Msiru ,akitoa maelezo kwa Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhandisi
Gerson Lwenge juu ya mradi wa chanzo cha
maji cha Kisimen
Waziri wa Maji na Umwagiliaji ,Mhandisi Lwenge akitia saini katika kitabu cha wageni alipofika katika mradi wa Chemichemi ya Kisimeni kwa ajili ya uzinduzi.anayeshuhudia ni mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji safi na Usafi wa Mazingira mjini Moshi,Joyce Msiru.
Waziri wa Maji na Umwagiliaji ,Mhandisi Lwenge akiondosha kitambaa kuashiria uwekaji wa jiwe la msingi katika mradi wa Maji wa chanzo cha maji cha Chemichemi ya Kisimeni.
Waziri wa Maji na Umwagiliaji,Mhandisi Geryson Lwenge akitoa hotuba yake wakati wa uzinduzi wa mradi wa maji yanayotokana na Chemichemi ya Kisimeni.
Wanafunzi wa Shule ya msingi ya Longuo wakitoa burudani ya wimbo wakati wa hafla ya uzinduzi wa mradi wa maji wa Kisimeni.
Waziri Lwenge akimbebesha ndoo mmoja wa wakazi wa Longuo mara baada ya kufanya uzinduzi wa mradi huo.
Mgeni rasi katika uzinduzi huo ,Waziri wa Maji na Umwagiliaji ,Geryson Lwenge akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa bodi,mameneja wa mamlaka hiyo na viongozi wengine waliofika katika uzinduzi huo.
Wakuu wa wilaya ,Anhtony Mtaka,(wilaya ya Hai) Novatus Makunga (wilaya ya Moshi mjini ) na Mbunge wa Moshi vijijini Anthony Komu wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya uzinduzi huo.
Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini.