Mgomo wa EFD kwa Wafanyabiashara Kariakoo Waendelea…!

Mgomo wa wafanyabiashara eneo la Kariakoo jijini Dar es Salaam umeendelea leo baada ya baadhi ya maduka kuendelea kufungwa. Maduka mengi yamefungwa baada ya wafanyabiashara hao kugomea matumizi ya mashine za kisasa zinazoweza kukokotoa kodi kwa mfanyabiashara. Kwa mujibu wa baadhi ya wafanyabiashara waliozungumza na mtandao huu walisema wapo tayari kulipa kiwango chochote cha kodi lakini si kwa kutumia mashine hizo za EFD, kwani zinausumbufu katika matumizi yake kutokana na elimu ya wafanyabiashara walio wengi huku zikiwa na masharti magumu pia zinapotumiwa kwa wahusika.

Baadhi ya waduka yakiwa yamefungwa maeneo mbalimbali ya Kariakoo ikiwa ni kupinga matumizi ya mashine za kisasa za kukokotoa kodi, EFD.