
Mgombea ubunge wa jimbo la Kalenga kupitia chama cha Mapinduzi (CCM) Bw. Godfrey Mgimwa akiwahutubia wananchi katika mkutano wa kampeni uliofanyika katika kijiji cha Wenda huku mvua kubwa ikinyesha kulia ni Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Iringa Bi. Jesca Msambatavangu.
Mkutano ukiendelea huku wananchi wakimsikiliza wakiwa katika mvua kubwa.
Wananchi wakiserebuka kabla ya kuanza kwa mkutano wa kampeni katika kijiji cha Tanangozi.