Mgombea Urais Msumbiji Asaka Kura Tanzania, Aenda kwa Nyerere

Mama Maria Nyerere akimsalimia Mtoto wa Rais wa Kwanza wa Msumbiji, Samora Machel, Samora Samora ambaye alifuatana na mgombea huyo wa Urais wa Msumbiji.

Mjane wa Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere, Mama Maria Nyerere (watatu kushoto) akiwa na ugeni wa mgombea huyo wa Urais nchini Msumbiji, Filipe Nyus (wapili kushoto), nyumbani kwa Mwalimu, Msasani, Dar es Salaam. Kushoto ni Kinana.

Mgombea Urais wa Msumbiji kwa tiketi ya Frelimo, Filipe Nyusi akipunga mkono kuwasalimu waliofika kumlaki Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere.

Nyusi akidhihirisha furaha kwa mapokezi aliyopata.

Filipe Nyusi akizungumza na waandishi wa habari baada ya mapokezi, Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere.

Mtoto wa Samora akizungumza na binti wa Baba wa Taifa, Mwalimu Nyerere, wakati wa ugeni huo nyumbani kwa Mama Maria Nyerere, Msasani Dar es Salaam.