Mgombea Mwenza CCM Ahaidi Pikipiki 30 za Mikopo kwa Vijana Vunjo

Baadhi ya wananchi na wanachama wa Chama Cha Mapinduzi wakiwa katika mkutano wa mgombea mwenza wa kiti cha urais kwa tiketi CCM, Bi. Samia Suluhu Jimbo la Rombo.

Mgombea mwenza wa kiti cha urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bi. Samia Suluhu akihutubia wananchi Jimbo la Rombo Mkoani Kilimanjaro leo.

Katibu wa UWT, Amina Makilagi akizungumza na wananchi na wapenzi wa CCM kabla ya Bi. Samia Suluhu kupanda jukwaani.

Na Joachim Mushi, Rombo

MGOMBEA mwenza wa kiti cha urais Bi. Samia Suluhu amesema ilani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) imetoa kipaumbele kwa kuwawezesha vijana na akinamama ili kupambana na suala zima la kupunguza ukosefu wa ajira kwa vijana na kuinuwa kipato cha wanawake ambao wana mchango mkubwa katika jamii.

Bi. Samia pia ameahidi kuwapatia pikipiki 30 za mikopo kwa bei nafuu kwa vijana wa Jimbo la Vunjo baada ya kutoa kilio hicho alipokuwa akihutubia mkutano wa hadhara Kata ya Marangu Mtoni Mkoani Kilimanjaro anapoendelea na ziara yake ya kuomba CCM ipewe ridhaa ya kuongoza nchi kwa kipindi kingine.

Bi. Suluhu alisema ataanza kwa kuwapa vijana wa Jimbo la Vunjo pikipiki 30 ili zitolewe kwa mikopo
rahisi kwa vijana hao ikiwa kama ni mradi wa majaribio na kama wakifanya vizuri katika mradi huo
Serikali itawasaidia zaidi kupitia mbunge wao. Alitoa ahadi hiyo baada ya mgombea ubunge Jimbo la Vunjo kutoa kilio cha vijana eneo hilo akiomba wasaidiwe kupata mikopo ya pikipiki kujiwezesha kiuchumi.

Mbunge wa Afrika Mashariki na Kati, Bi. Anjela Kiziga akizungumza na wanachama na wapenzi wa CCM katika Jimbo la Rombo.

IMG_0049
Mgombea mwenza wa kiti cha urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bi. Samia Suluhu akisalimiana na viongozi na wanachama mara baada ya kuwasili Jimbo la Rombo.

IMG_0056IMG_0049
Wagombea ubunge kwa tiketi ya CCM wa Jimbo la Moshi Vijijini, (kushoto) na mgombea Ubunge Jimbo la Innocent Shirima wa Jimbo la Vunjo kulia wakitambulishwa na Bi. Samia Suluhu.

Wagombea ubunge kwa tiketi ya CCM wa Jimbo la Rombo, Samora Kanje (kushoto) na mgombea udiwani kulia wakitambulishwa na Bi. Samia Suluhu.

Aidha Bi. Suluhu alisema amesikia kilio cha wananchi wa Jimbo la Vunjo cha bei ya zao la kahawa hivyo kuwaomba wananchi kuichagua CCM kwa nafasi zote inayoziomba ili iweze kuifanyia kazi kwa dhati suala hilo. Alisema Serikali pia imepokea kilio cha Soko la Himo na mara wananchi watakapoipa ridhaa ya kurudi madarakani itahakikisha inalifanyia kazi.

Awali akizungumza katika mkutano wa hadhara Jimbo la Rombo aliwaomba wananchi wakichague Chama Cha
Mapinduzi katika uchaguzi ujao ili kiweze kumalizia kazi ya ujenzi wa baadhi ya shule za kata ambazo ujenzi wake umeishia njiani kutokana na usimamizi mbovu wa mbunge aliyepo madarakani kwa sasa (Chadema), hilo ikiwa ni pamoja na kuibadili Shule ya Sekondari Mahida kuwa ya kidato cha tano na sita.

Alisema kwa maeneo ya Holili na Tarakea amepokea kilio cha shida ya maji kwa wakazi wa maeneo hayo hivyo aliwaahidi endapo mgombea urais wa CCM, Dk. John Pombe Magufuli wakimpa ridhaa ya kuongoza atahakikisha anasimamia vizuri ili maeneo hayo yaweze kupata huduma ya maji na kumaliza kero hiyo.

Pamoja na hayo aliwanadi wagombea ubunge kwa tiketi ya CCM wa Jimbo la Rombo, Samora Kanje na Innocent Shirima wa Jimbo la Vunjo akiwaomba wananchi kuwachagua vijana hao ambao ni wachapakazi na shupavu katika utendaji. Kwa upande wake mgombea Shirima akizungumza alisema atatumia gawio la mapato ya mlima wa Kilimanjaro kwa eneo hilo ili iweze kuwanufaisha wananchi wa jirani na mlima huo ikiwa ni pamoja na kupata fedha za mlo wa mchana kwa shule na kuwasaidia vijana mikopo midogo midogo ili waweze kujikwamua.