Mgahawa wa Kitanzania Watajwa Kuwa Bora Nchini Sweden..!

Jarida la Wizara ya Maliasili Makumbusho na Utalii katika mji wa Trollhättan na Vänersborg limeijumuisha Tanzanian Restaurant - Lunch by chef Issa kwenye orodha ya migahawa bora katika miji hiyo miwili ni jambo la kujivunia hasa mafanikio haya ndani ya miezi miwili tangu kufunguliwa

Jarida la Wizara ya Maliasili Makumbusho na Utalii katika mji wa Trollhättan na Vänersborg limeijumuisha Tanzanian Restaurant – Lunch by chef Issa kwenye orodha ya migahawa bora katika miji hiyo miwili ni jambo la kujivunia hasa mafanikio haya ndani ya miezi miwili tangu kufunguliwa

Jarida la makala ya biashara na uwekezaji la Fokus Väst la mji wa Trollhättan Sweden limethibitisha rasmi nakujivunia Tanzanian Restaurant – Lunch by chef Issa kua ni mgahawa halisi wa kiafrika mkubwa kuliko yote kwa bara la ulaya. Kusoma taarifa hiyo bofya link ya Fokus magazine http://en.calameo.com/read/0028316377167713a84d5 Habari ipo ukurasa wa mwisho

IMG-20150616-WA0013

IMG-20150616-WA0011

IMG-20150616-WA0009

Karibu na Like Facebook page ya Tanzanian restaurant – Lunch by Chef Issa https://m.facebook.com/profile.php?id=829878737101969 na kuwasiliana naye moja kwa moja kupitia ukarasa huo.

IMGL23721

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimpongeza mtaalamu wa kimataifa wa mambo ya mapishi aishiye Sweden Chef Issa Kapande ambaye mwaka jana alikuwa katika timu ya taifa ya Sweden kwenye mashindano ya kombe la dunia la mapishi walikoibuka na medali ya dhahabu hivi karibuni alipokuwa nchini Sweden ziara ya kikazi na kukutana na Watanzania waishio nchini humo. Chef Issa, ambaye hivi karibuni amefungua mgahawa mkubwa kuliko yote wa Ki Afrika katika Ulaya yote mjini Trolhattan, nje kidogo ya jiji la Stockholm, wenye uwezo wa kuchukua watu 400 kwa wakati mmoja.