Mfuko wa Pensheni LAPF Kutoa Mikopo Elimu ya Juu kwa Wanachama

Uzinduzi rasmi wa Piga Kitabu na LAPF ulipambwa na shamrashamra za aina yake.

Mgeni rasmi wa hafla ya uzinduzi wa Piga Kitabu na LAPF, Hawa Ghasia akipokea zawadi ya kitabu cha Nelson Mandela kutoka kwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Mfuko wa Pensheni wa LAPF.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu -Tamisemi, Hawa A. Ghasia, akitoa neno kwa wageni waalikwa wakati wa uzinduzi wa huduma mpya ya mkopo wa elimu ya juu(‘Piga Kitabu na LAPF’)

Baadhi ya wageni waalikwa walioshiriki katika hafla ya uzinduzi wa ‘Piga Kitabu na LAPF’ Mkopo wa elimu ya juu kwa wanachama wa LAPF iliyofanyika jijini Dar es Salaam.

Kalunde Band wakitoa burudani kwa wageni waalikwa wakati wa uzinduzi huo

Baadhi ya wafanyakazi wa Mfuko wa Pensheni wa LAPF wakiwa katika picha ya pamoja wakati wa uzinduzi huo.

Vijana kutoka Kigamboni Community Centre wakitoa burudani ya ngoma wakati wa hafla ya uzinduzi wa ‘Piga Kitabu na LAPF’ huduma mpya ya mikopo ya elimu ya juu kwa wanachama wa LAPF, iliyofanyika mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam.