
Mfalme wa Morocco Mohammed VI (aliyetangulia mbele) akishuka katika Ndege mara alipowasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius K. Nyerere kwa ajili ya ziara ya siku tatu ya kikazi Jijini Dar es Salaam.

Akisalimiana na Dk. Magufuli

akipigiwa mizinga

Dk. Magufuli akimtambulisha Makamu wa Rais mama Samia kwa mgeni

Mazungumzo Ikulu