Mdau wa dev.kisakuzi.com akiwa na wanakijiji kusaka taarifa

Tunapoenda kufanya kazi vijijini si vibaya kujumuika na kubadilishana taarifa na wenyeji wa pale, je wataka kujua hapa Mdau Mkuu wa Thehabar.com (wa pili kutoka kushoto) alikuwa kijiji gani, basi endelea kutembelea mtandao huu


Tunapoenda kufanya kazi vijijini si vibaya kujumuika na kubadilishana taarifa na wenyeji wa pale, je wataka kujua hapa Mdau Mkuu wa Thehabar.com alikuwa kijiji gani, basi endelea kutembelea mtandao huu