MCT Wakutana na Makamu wa Rais, Dk Bilal

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akipokea baadhi ya machapisho ya Baraza la Habari Tanzania (MCT)  kutoka kwa Rais wa Baraza hilo, Jaji Thomas Mihayo, baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika Ofisini kwa Makamu Ikulu jijini Dar es Salaam, Septemba 11, 2014. Picha na OMR

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na viongozi wa Baraza la Habari Tanzania (MCT) wakati walipofika ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, Septemba 11, 2014 kwa ajili ya mazungumzo. Picha na OMR