Mkurugenzi Mkuu wa SBL Helene Weesie akitoa hotuba ya ufunguzi kwa wageni waliohudhuria tafrija mchapalo ya maadhimisho ya miaka 20 tangu kuanzishwa kwa bia ya Serengeti Premium Lager (SPL) mwaka 1996.Pia kulizinduliwa chapa mpya ya Bia hiyo. Hafla hiyo ilifanyika siku ya Alhamisi katika HOTELI ya Hyatt Regency Jijini Dar es salaam
|
Mkurugenzi Mkuu wa SBL Helene Weesie akitoa hotuba ya ufunguzi kwa wageni waliohudhuria tafrija mchapalo ya maadhimisho ya miaka 20 tangu kuanzishwa kwa bia ya Serengeti Premium Lager (SPL) mwaka 1996.Pia kulizinduliwa chapa mpya ya Bia hiyo .hafla hiyo ilifanyika siku ya alhamisi katikaHOTELI ya Hyatt Regency Jijini Dar es salaam |