Mbunge wa Mufindi Kusini, apata ajali, alazwa
MBUNGE amepata ajali leo na amelazwa katika Hospitali ya Mkoa wa Iringa kwa matibabu zaidi. Hata hivyo taarifa zinasema hali yake kwa sasa inaendelea vizuri na huenda akaruhusiwa kutoka baada ya uchunguzi wa madaktari kukamilia.
Picha na Rajabu Mhamila ‘Super D’ Blogu.