Mbunge wa Arumeru Mashariki Joshua Nassari Akisikiliza kero za wagonjwa katika Hospitali ya Tengeru , alifika hospitalini hapo ili kujua matatizo yanawakumba wagonjwa, hasa wakina mama waliolazwa katika hospitali ya Tengeru alipofanya ziara ya ghafla hospitalin hapo jana
MBunge wa Arumeru Mashariki Joshua Nassari akimsalimia moja wa watoto wanaouguzwa katika Hospitali ya tengeru huku akihaidi kuchangia sh milioni 45
Mbunge wa Arumeru Mashariki Joshua Nassari Akiwa katika kiti maalumu cha wagojwa wanaosubili kumwona daktari katika Hospitali ya Tengeru .