
Mbunge wa Jimbo la Arumeru Mashariki, Joshua Nassari akishiki katika shughuli za Ujenzi wa daraja la Kwa Pole.
![]() |
Wananchi katika Jimbo la Arumeru Mashariki wakishiriki katika shughuli za Ujenzi wa daraja la Kwa Pole ambalo limekuwa likitumiwa na kinamama hasa wauzaji wa Ndizi. |
![]() |
Ujenzi ukiendelea katika eneo la Ka Pole. |
![]() |
Mbunge wa Jimbo la Arumeru Mashariki Joshua Nassari akikabidhi mifuko 50 ya saruji, vipande 30 vya nondo pamoja na tanki la maji kwa ajili ya choo cha soko la ndizi . |
![]() |
Nassari akikabidhi Nondo kwa ajili ya ujenzi wa daraja la Kwa Pole. |
![]() |
Nassari akitizama ujenzi unavyoendelea. |