Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Tanga kupitia (CUF) Amina Mwidau akisalimiana na wakina mama wakati alipotembelea hospitali ya wilaya ya Pangani jana kuwaona wagonjwa kuwafariji na kugawa zawadi mbalimbali ikiwemo sabuni, sukari pamoja na mahitaji muhimu na kukabidhi jengo la kupumzikia wagonjwa alilolijenga kwa gharama za sh. milioni tano na mbunge huyo, Picha na Mpiga Picha wetu, Pangani.
Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Tanga (CUF) Amina Mwidau akimsalima motto mchanga kwenye hospitali ya wilaya ya Pangani wakati alipokuwa akiwatembelea wagonjwa kuwajulia hali kuwapa zawadi na kukabidhi jengo la kupumzikia hospitalini hapo lilolojengwa na mbunge huyo kwa gharama za shilingi milioni tano,Picha na Mpiga Picha Wetu, Pangani.
Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Tanga (CUF) Amina Mwidau akigawa zawadi kwa mgonjwa Aisha Juma kwenye hospitali ya wilaya ya Pangani mara baada ya kuwatembelea wagonjwa jana kuwafariji na kukabidhi jengo la kupumziki wagonjwa hao kwenye hospitali hiyo ambalo limejengwa na mbunge huyo kwa gharama za kiasi cha shilingi milioni tano.
Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Tanga(CUF) Amina Mwidau akiwa kwenye picha ya pamoja na wahuduma wa hospitali ya wilaya ya Pangani jana mara baada ya kuwatembelea wagonjwa hospitalini hapo kugawa zawadi na kukabidhi jengo la kupumzikia wagonjwa wanaokwenda kupata matibabu ambalo limejengwa na mbunge huyo kwa gharama za kiasi cha shilingi milioni tano.
Kushoto ni Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Tanga (CUF) Amina Mwidau akimkabidhi Jengo la kumpumzikia wagonjwa Mganga Mkuu wa Halmashauri ya wilaya ya Pangani Dennis Ngaromba ambalo limejengwa na mbunge huyo kwa kiasi cha shilingi milioni tano litakaotumiwa na wagonjwa wanaokwenda hospitalini hapa kupata matibabu, Picha na Mpiga Picha wetu, Pangani.