Klabu ya Atletico Madrid itakua ugenini kukabiliana na Bayern Bunich katika ligi ya mabingwa ulaya ikiwa ni nusu fainali ya pili saa 3:45 usiku, baada ya mchezo wa kwanza Atletico kufanikiwa kuibuka na ushindi wa bao 1 – 0 katika Uwanja wa Vicente Calderon, shukrani za Pekee zikienda kwa Saul Niguez aliyefunga bao dakika ya 11 baada ya kuichambua ngome ya Bayern
Mchezo mwingine utapigwa kesho Kati ya Man City wakialikwa na Madrid katika nusu na Kushuhudia mchezo wa kwanza timu hzo zilimaliza dakika 90 bila ya kufungana. Fainali ya Michuano ya hii itapigwa jumamosi tarehe 28