Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Makame Mbarawa amezitaka Taasisi za Sekta binafsikushirikiananaSerikalikatikakukuzauchumiwaviwanda.
AmezitakasektahizokutumiafursazauwekezajizinazotolewanaSerikalikama vile ujenziwareliyakati, njiayamagariyaharaka (Dar- Chalinze express way) naupanuziwaviwanjavyandegembalimbalinchini.
Ametoapendekezohilojijini Dar es salaamwakatiakifunguaseminayawataalamuwa Tanzania na Chinakatikakujadilinamna bora yakuboreshamiundombinuyaviwanda.
“NaaminikwambaserikalipamojanaTaasisihizizikishirikaianakwapamojazitawezakuboreshaviwandanakufikiauchumiwakatiifikapomwaka 2020”, amesemaWaziriMbarawa.
Aidha, amewatakawadaukutumiafursahiyokatikakujifunzanakuigambinumbalimbalizinazotumiwananchiya China ambayoimeendeleakatikasektayaviwandamarabaadayakumalizikakwaseminahiyo.
Amefafanuakuwakupitiauboreshwajiwaviwandanchini, Serikaliinatarajiakuongezapatokutokananaushindaniwakibiasharaambaoutafanywanawawekezajikutokanchihizombilihususanikatikamasualayamiundombinu.
“Tunakaribishawawekezajiwengikutoka China ambaowataletamapinduziyaviwandanchinikwetunahivyokukuzauchuminapatokwaujumla”, amesisitizaMbarawa.
Amesemakuwasuala la kuboreshaviwandalinaendasambambanautunzajiwamazingirakwaniviwandavingivimekuwavikiletaatharikatikaafyayamwanadamu.
NayeNaibuWaziriwa Mambo yaNjeMhe. Dkt. Suzan Kolimba, ameipongezaSerikaliya China kuichagua Tanzania kuwaninchiya kwanza kuifanyiautafitiwakujadiliuboreshajiwaviwandaAfrikanakuahidikutoaushirikianoilikutekelezamaendeleochanya.
Kwaupande wake Baloziwa China nchini Lu Youqing, amesemakuwakutokananaushirikianowakaribuuliopobainayaSerikaliya China na Tanzania anaaminikuwawadauwanchihizombiliwatashirikianakikamilifukatikakuwekezanakuboreshaviwandanchiniilikuongezauzalishaji.