Mbabe kati ya Japhert Kaseba, Francis Cheka kujulikana leo

Mratibu wa mpambano wa ngumi, Kaike Siraju katikati akiwainua mikono juu mabondia Japhert Kaseba kushoto na Francis Cheka baada ya kumaliza kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao utakaofanyika siku ya sabasaba katika uwanja wa taifa wakati wa Tamasha la Matumaini kwa Watanzania litakalokusanya burudani mbalimbali. Picha na super d boxing blog