Mazungumzo ya Dk Shein na Uongozi wa Wizara ya Katiba na Sheria

IMG_0035
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Katiba na Sheria, katika utekelezaji wa Mpango wa kazi za Wizara hiyo, katika Ukumbi wa Mikutano Ikulu Mjini Zanzibar, [Picha na Ramadhan Othman Ikulu.]

Baadhi ya Viongozi mbalimbali wa Wizara ya Katiba na Sheria, wakiwa katika mkutano wa  utekelezaji wa Mpango wa kazi za Wizara hiyo, chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, (hayupo pichani) katika Ukumbi wa Mikutano Ikulu Mjini Zanzibar.[Picha na Ramadhan Othman Ikulu.]

Baadhi ya Viongozi mbalimbali wa Wizara ya Katiba na Sheria, wakiwa katika mkutano wa  utekelezaji wa Mpango wa kazi za Wizara hiyo, chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, (hayupo pichani) katika Ukumbi wa Mikutano Ikulu Mjini Zanzibar.[Picha na Ramadhan Othman Ikulu.]