Mazishi ya Mzee Julian Kibindo Lukindo Tanga

Mama Mzazi wa Suzana Mungy B. Agnesi Julian Lukindo (75) akiweka udongo katika kaburi la mumewe mpendwa mzee Julian Lukindo

Bibi Suzana Mungy akiwa pamoja na ndugu zake makaburini pembeni ya jeneza la Baba yao Mzee Julian Lukindo (PICHA ZOTE NA CHRIS MFINANGA)