Mazishi ya Marehemu Dk William Shija, Sengerema

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akiweka Shada la maua kwenye kaburi la aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Mabunge ya Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Madola, marehemu Dk. William Shija, wakati wa shughuli za maziko yaliyofanyika Kijijini kwake, Nyampande Wilaya ya Sengerema Mkoa wa Mwanza, Oktoba 13, 2014. Picha na OMR

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akiweka udongo katika kaburi la aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Mabunge ya Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Madola, marehemu Dk. William Shija, wakati wa shughuli za maziko yaliyofanyika Kijijini kwake, Nyampande Wilaya ya Sengerema Mkoa wa Mwanza, Oktoba 13, 2014. Picha na OMR

Spika wa Bunge la Jamhuri, Anne Makinda, akitoa heshima za mwisho mbele ya Jeneza lenye mwili wa aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Mabunge ya Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Madola, marehemu Dk. William Shija, wakati wa shughuli za maziko yaliyofanyika Kijijini kwake, Nyampande Wilaya ya Sengerema Mkoa wa Mwanza, Oktoba 13, 2014. Picha na OMR

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akitoa heshima za mwisho mbele ya Jeneza lenye mwili wa aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Mabunge ya Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Madola, marehemu Dk. William Shija, wakati wa shughuli za maziko yaliyofanyika Kijijini kwake, Nyampande Wilaya ya Sengerema Mkoa wa Mwanza, jana Oktoba 13, 2014. Picha na OMR

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, wakijumuika na waombolezaji wakati wa shughuli za maziko zilizofanyika nyumbani kwa aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Mabunge ya Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Madola, marehemu Dk. William Shija, Kijiji cha Nyampande Wilaya ya Sengerema, Oktoba 13, 2014. Picha na OMR

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bialal, akiwafariji wanafamilia wa aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Mabunge ya Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Madola, marehemu Dk. William Shija, wakati wa shughuli za maziko zilizofanyika Kijiji ch Nyampande Wilaya ya Sengerema, Mkoa wa Mwanza Oktoba 13, 2014. Picha na OMR