Jeneza lenye Mwili wa Marehemu, Steven Kanumba likiwasili kwenye Viwanja vya Leaders Club, jijini Dar es Salaam leo asubuhi.

Wa Pili kulia ni Mama yake na Marehemu Steven Kanumba akiwa ameambatana ndugu jamaa na marafiki kumuaga mtoto wao kabla ya kwenda kulazwa kwenye nyumba yake ya milele jioni ya leo.

Baadhi ya wahusika toka Kamati ya Mazishi ya Steven Kanumba wakiweka utaratibu sawa kwa ajili ya kumuaga marehemu Kanumba leo Leaders Club

Jeneza lenye Mwili wa Marehemu, Steven Kanumba likiwasili kwenye Viwanja vya Leaders Club, jijini Dar es Salaam leo asubuhi.