RAIS MAGUFULI APOKEWA KWA NDEREMO AKIWA ZIARANI TANGA

Msafara wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ukisimamishwa na maelfu ya wananchi kila alipopita.

 Msafara wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ukielekea mkoani Tanga ambako katika ziara yake ya siku tano ataungana na mgeni wake Rais Yoweri Kaguta Museveni wa Uganda kesho Jumamosi katika sherehe za uwekaji wa jiwe la msingi la kuanza kwa ujenzi wa bomba la mafuta ghafi kutoka Hoima hadi bandari ya Tanga.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akilakiwa na viongozi mbalimbali wa mkoa wa Tanga pamoja na maelfu ya wananchi wa Mkata wakati akiwasili mkoani Tanga.
  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akilakiwa na viongozi mbalimbali wa mkoa wa Tanga pamoja na maelfu ya wananchi wa Mkata wakati akiwasili mkoani Tanga.
  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimia  maelfu ya wananchi wa Mkata  akiwasili mkoani Tanga.
 Sehemu ya umati wa wananchi wa Mkata wakimsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli.

 Sehemu ya umati wa wananchi wa Mkata wakimsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea na wananchi Mkata
 Sehemu ya umati wa wananchi wa Mkata wakimsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiaga baada ya kuongea na wananchi wa Mkata.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akilakiwa aliposimama kuongea na wananchi eneo la Komkonga
  Sehemu ya wananchi wakimsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli aliposimama kuongea nao eneo la Komkonga.
  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea na wananchi aliposimama eneo la Komkonga.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea na wananchi aliposimama eneo la Komkonga.
 Mkuu wa Wilaya ya Handeni Mhe. Godwin Gondwe akimshangilia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli wakati akiongea na wananchi aliposimama eneo la Komkonga.
 Wananchi wakiwa na furaha kumuona Rais wao
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza kwa kazi nzuri na ya mfano  katika kuendeleza elimu Mkuu wa wilaya ya Korogwe Mhe. Robet Gabriel 
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza kwa kazi nzuri na ya mfano  katika kuendeleza elimu Mkuu wa wilaya ya Korogwe Mhe. Robet Gabriel 
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea.
Mkuu wa Wilaya ya Handeni Mhe. Godwin Gondwe akiongea jambo na  Mkuu wa wilaya ya Korogwe Mhe. Robet Gabriel .
 Wananchi wa Hale wakimsikiliza Rais
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea na wananchi wa Michungwani
 Wananchi wakimshangilia Rais Magufuli.
 Rais akisalimiana na wananchi wa Kabuku .
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia vazi la mwananchi.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia vazi la mwananchi.
 Wenyeji kwa wageni wakifurahia ujio wa Rais Magufuli.
 Msafara wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ukisimamishwa na maelfu ya wananchi kila alipopita 
 Msafara wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ukisimamishwa na maelfu ya wananchi kila alipopita .
 Rais Magufuli akiongea na wananchi eneo la Hale.
 Wananchi wenye furaha wakimsikiliza Rais Magufuli.
 Wengi walitumia simu zao za mkononi kumrekodi Rais Magufuli.

 Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais anayeshughulikia Muungano na Mazingira Mhe January Makamba akiongea.

 Waziri wa Afya, Ustawi wa Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu akiongea.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  akilakiwa na Mkuu wa wilaya ya Muheza Mkoani Tanga, Hajat Mhandisi Mwanasha Tumbo alipowasili wilayani humo.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akilakiwa na Mbunge wa Muheza Mhe. Adadi Rajabu.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akilakiwa kwa shangwe na wananchi wa Muheza.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisoma mabango alipowasili wailayani Muheza.
 Katibu Mkuu wa CCM Taifa Ndg. Abdulrahmana Kinana akisalimiana na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Tanga Mhe. Henry Shekifu wakati wa mkutano wa hadhara wilayani Muheza.
  Katibu Mkuu wa CCM Taifa Ndg. Abdulrahmana Kinana akiongea katika  mkutano wa hadhara wilayani Muheza.
 Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akitambulishwa kwa wananchi wakati wa mkutano wa hadhara wilayani Muheza.
  Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akisalimia  wananchi wakati wa mkutano wa hadhara wilayani Muheza
  Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akiwa meza kuu na Waziri wa Afya, Ustawi wa Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Tanga Mhe. Martine Shigella wakati wa mkutano wa hadhara wilayani Muheza
 Katibu Mkuu wa CCM Taifa Ndg. Abdulrahmana Kinana katika  mkutano wa hadhara wilayani Muheza.
 Katibu Mkuu wa CCM Taifa Ndg. Abdulrahmana Kinana akiongea na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais anayeshughulikia Muungano na Mazingira Mhe January Makamba  katika  mkutano wa hadhara wilayani Muheza
  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea na wananchi wa Muheza.
 Wananchi wa Muheza wakimsikiliza  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli.
 Mbunge wa Jimbo la Korogwe Vijijini Mhe. Stephen Ngonyani aka ‘Profesa Maji Marefu’ akisalimia wananchi.
 Mbunge wa Pangani Jumaa Aweso akisalimia wananchi.
  Mbunge wa Korogwe Mjini Mhe. Mary Chatanda akisalimia wananchi.
 Mbunge akisalimia wananchi.
 Mbunge wa Jimbo la Handeni Mjini Mhe Omari Kigoda akisalimia wananchi.
 Mbunge wa Muheza Mhe. Adadi Rajabu akisalimia wananchi.
   Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipata picha na baadhi ya viongozi wa Muheza.
   Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Profesa Maji Marefu.
   Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipata picha na baadhi ya watoto waliokuwepo kwenye mkutano wake wa hadhara Muheza.
   Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimsikiliza diwani wa Pongwe Mhe. Mbaraka Saadi Mbaraka akimuelezea changamoto za eneo lake
    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza  diwani wa Pongwe Mhe. Mbaraka Saadi Mbaraka aliyemuelezea kwa ufasaha changamoto za eneo lake .
    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimsifia  diwani wa Pongwe Mhe. Mbaraka Saadi Mbaraka kwa kumuelezea changamoto za eneo lake. 
 Wananchi na diwani wa Pongwe Mhe. Mbaraka Saadi Mbaraka wakifurahia umauzi wa Rais wa kujengwa kituo cha mabasi eneo lao .