Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo (Mb) akisisitiza jambo alipofanya kikao kilichojumuisha mkuu wa mkoa wa Katavi Dk. Rajab Rutengwe, mkuu wa wilaya ya Mpanda Bw. Pazi Mwamlima, wataalamu kutoka Tanesco ikiwa ni pamoja na wadau mbalimbali wa sekta ya umeme.
Wadau mbalimbali wa sekta ya umeme wakimsikiliza kwa makini Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo (Mb) (hayupo pichani) alipokuwa akijibu hoja mbalimbali zilizowasilishwa.
Mmoja wa wadau wa sekta ya umeme akiuliza swali katika kikao hicho.