Askari wa Kikosi cha Kutuliza Ghasia (FFU) wakiwa makini kuimarisha ulinzi eneo la Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam wakati watuhumiwa hao wakifikishwa mahakamani.

Baadhi ya watuhumiwa wa vitendo vya ugaidi nchini Tanzania wakisindikizwa na askari wa Kikosi cha Kutuliza Ghasia (FFU), kuingia Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam Julai 17,2014 kusomewa mashitaka yao.

Baadhi ya watuhumiwa wa vitendo vya ugaidi nchini Tanzania wakisindikizwa na askari wa Kikosi cha Kutuliza Ghasia (FFU), kuingia Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam Julai 17,2014 kusomewa mashitaka yao. Picha na Philemon Solomon