
Uzinduzi wa Muonekano Mpya wa Bia ya Serengeti

Mkurugenzi wa Masoko wa SBL, Ephraim Mafuru (katikati) akimpa maelekezo Kiongozi wa Bendi ya Extra Bongo, Ally Choki (kushoto) katika hafla ya uzinduzi wa muonekano mpya wa bia ya serengeti. Kulia ni mmoja wa maofisa wa SBL.

Bia ya Serengeti ikiibuka ndani ya maji (kushoto) huku ikiwa katika muonekano mpya kuashiria uzinduzi huo.

Shamrashamra za uzinduzi huo.




Wadau wa bendi ya Extra Bongo mbali na kutoa burudani kwa wagwni waalikwa nao walionja serengeti

Burudani na Extra Bongo

Shoo ya Bendi ya Extra Bongo!

Meneja wa Bia ya Serengeti, Allan Chonjo (kushoto) akibadilishana mawazo na mmoja wa maofisa wa SBL katika uzinduzi wa muonekano mpya wa bia ya Serengeti jana.

Wadau wa serengeti wakipandisha mzuka kwa kucheza baada ya kuonja muonekano mpya wa bia hiyo.

Kutoka kushoto ni Wells, Mafuru na Nandi wote wa SBL katika uzinduzi!

Wadau wakila bata kwenye uzinduzi huo!

Wadau wakibadilishana mawazo katika uzinduzi huo viwanja vya Golden Tulip Hoteli jana

Warembo na mabalozi wa Serengeti katika muonekano mpya wakitambulishwa jukwaani wakiwa na ma-MC wa promosheni wa kinywaji hicho