
Pichani ni Kaimu Meneja wa Shirika la Maendeleo ya Viwanda Vidogovidogo nchini (SIDO) Ruvuma, Athur Ndedya akiwa ndani ya banda la SIDO alipotembelea maonesho ya wakulima nane nane eneo hilo jana. (Picha zote na Danstan Mhilu, wa MUVI, Ruvuma)

Moja ya jengo la Wilaya ya Namtumbo likiwa na bango la kuhamasisha Kilimo Kwanza

Zao la alizeti