Matukio ya mafuriko na maafa ya mvua Arusha



Pichani ni athari na madhara yaliyosababishwa na mvua ambayo imenyesha usiku wa kuamkia juzi, wilayani Karatu na Monduli mkoani Arusha, ambapo mtu mmoja anasadikika kufa huku nyumba kadhaa zikiwa zimezolewa, baada ya Mto Kirurumo kukatika na kusababisha mawe kujaa barabarani hali ambayo imesababisha Mawasiliano ya barabara kati ya Karatu na Arusha kukwama.