Matukio ya Kijeshi

kaburi la pamoja la Wanajeshi wa JWTZ, ambao waliipigwa AMBUSH na majeshi ya Uganda wakati wanapeleka mabomu katika uwanja wa vita mwaka 1979

Ushirikiano wenye ukakamavu

Msafara wa JWTZ ukielekea Rwanda kufanya zoezi la pamoja kati ya Nchi za Jumuia ya Afrika Mashariki. Burundi, kenya, Rwanda (nchi mwenyeji), Tanzania, na Uganda. Zoezi hilo la pamoja liliitwa. “Field Training Exercise” ( FTX)

Wanajeshi wakifanya mafunzo mbalimbali ya Ulinzi wa Amani.

Wanajeshi wa JWTZ wakiwa ktk zoezi la kutembea umbali mrefu wakijiandaa kwenda Nchini Rwanda.