Matukio Wiki ya Vijana Katika Mdahalo wa Vijana Tabora

Baadhi ya Washiriki wa mdahalo wa Vijana katika kuadhimisha Wiki ya Vijana wakifuatilia mada katika mdahalo huo leo mkoani Tabora. Picha zote na Frank Shija, WHVUM.

Baadhi ya Washiriki wa mdahalo wa Vijana katika kuadhimisha Wiki ya Vijana wakichangia mada katika mdahalo huo leo mkoani Tabora.

Mchumi Mkuu Sekretarieti ya Mkoa wa Tabora, Nicholas Kileka akitoa mada kuhusu ijue Tabora leo mkoani humo wakati wamdahalo uliohusisha vijana mbalimbali wanaoshiriki maadhimisho ya Wiki ya Vijana ambayo kitaifa yanafanyika mkoani humo.