Matukio Ufunguzi wa Tamasha la Biashara Zanzibar, Jiwe la Msingi Mnara wa Mapinduzi

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akimsalimia Mtoto Mahya Abdalla, alipotembelea banda la biashara za nguo aina mbalimbali la Nafla Abdulhakim baada ya kuyafungua Tamasha la Biashara (Shopping Festival) katika viwanja vya Maisara Suleiman, Mkoa wa Mjini Magharibi ikiwa ni katika shamra shamra za miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar. [Picha na Ramadhan Othman, Ikulu.]

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akipata maelezo kutoka kwa mjasiriamali Asia Waziri wa kikundi cha Jambo Spices cha Makadara Mjini Unguja, alipotembelea biashara mbali mbali katika Tamasha la Biashara (Shopping Festival) alipolifungua katika viwanja vya Maisara Suleiman, Mkoa wa Mjini Magharibi.

TA1A8211

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akitoa hutuba yake kwa wananchi wakati wa sherehe za uwekaji wa jiwe la msingi Mnara wa Kumbukumbu ya miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar, katika viwanja vya Kisongo, Michenzani Mjini Unguja, (kulia) Waziri wa Ofisi ya Makamo wa Pili wa Rais Mohamed Aboud Mohamed.

Wafanyakazi wa ZSSF, wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akitoa hutuba yake wakati wa sherehe za uwekaji wa jiwe la msingi Mnara wa Kumbukumbu ya miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar katika viwanja vya Kisongo, Michenzani Mjini Unguja.[Picha zote na Ramadhan Othman, Ikulu.]

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akifungua pazia kuweka jiwe la msingi Ujenzi wa Mnara wa Kumbu kumbu ya Miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar, katika viwanja vya Kisonge, Michenzani Mjini Unguja.[Picha zote na Ramadhan Othman, Ikulu.]