
Msanii Diamond Platinumz akiwa kwenye Tamasha kubwa la Castle Lite Unlocks viwanja vya Leaders jijini Dar Es Salaam., akiwakonga wapenzi wa burudani usiku wa kuamkia leo.
Msanii Casper Nyovest akiwa jukwaani akiwakonga mashabiki.
|
Msanii toka Marekani FUTURE akiwa jukwaani kwenye tamasha kubwa la castle lite unlocks usiku wa kuamkia leo.
|
. Wasanii Nevy Kenzo wakizungumza na waandishi wa habari kwenye tamasha la castle lite unlocks usiku wa kuamkia leo |
. Msanii Diamond akizungumza na waandishi wa habari wakiongozwa na Taji Liundi kabla ya kupanda kwenye jukwaa la castle lite unlocks usiku wa kuamkia leo.
|
Sehemu ya mashabiki waliofurika viwanja vya Leaders |
Sehemu ya mashabiki waliofurika viwanja vya Leaders |
Sehemu ya mashabiki waliofurika viwanja vya Leaders. |