
Baadhi ya washiriki wa Sherehe ya siku ya Mwanamke yenye mlengo wa kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani, wakionesha mavazi katika hafla hiyo iliyoandaliwa na Shamim Mwasha na kufanyika kwenye Hoteli ya Serena, Jijini Dar es Salaam jana.
Kuona picha zaidi za tukio hili; BOFYA http://michuzi-matukio.blogspot.com
Picha zote kwa Hisani ya Blog ya Mtaa kwa Mtaa.