Miongoni mwa usafiri maarufu kutoka Mjini Songea kuelekea Wilayani Tunduru. ‘Obama Express…’!

Lundo la taka zikiwa pembezoni mwa maduka yanayozunguka Uwanja wa Majimaji Mjini Songea.

Njiani kutoka Masasi kuelekea Lindi mjini.

Hii si mishkaki jamani…! Baadhi ya wachuuzi wa biashara anuai wakinadi bidhaa zao kwa abiria Wilayani Masasi.

Baadhi ya wachuuzi wa biashara anuai wakinadi bidhaa zao kwa abiria Wilayani Masasi.

Baadhi ya wachuuzi wa biashara anuai wakinadi bidhaa zao kwa abiria Wilayani Masasi.

Usafiri wa magari aina hii ni maarufu kutokea Mkoa wa Pwani na vijiji vya Mkoa wa Lindi.

Lango kuu la kuingilia ofisi za Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru.

Mnara wa Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru.

Madawati ya msaada yaliyotolewa na kampuni ya TTCL yakiwa nje ya ofisi za Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru.

Mjini Tunduru nyumba nyingi zinafanya biashara ya kununua madini mbalimbali yanayopatikana eneo hilo. Pichani ni baadhi ya nyumba zikivutia matangazo ya biashara hiyo.

Baadhi ya madereva wa bodaboda wakiwa wametega abiria nje ya lango kuu la Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru kusubiri abiria.

Akina mama wachuuzi wa samaki Kilwa njiani kutokea Mkoa wa Lindi wakifanya biashara zao.