Mwenyekitiwa Bunge Maalum la Katiba, Samuel Sitta akiongoza Bunge hiloleo 8 Septemba, 2014 Bungenimjini Dodoma.

Wajumbe wa Kamati mbalimbaliza Bunge Maalum la Katiba wakiendelea kuwasilisha taarifa toka katika kamati zao mbalimbali Septemba 8, 2014 Bungeni mjini Dodoma.

Makamu Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Samia Suluhu Hassan akipitia moja ya taarifa toka katika kamati ya Bunge hilo leo Septemba 8, 2014 Bungeni mjini Dodoma.

Mzee Kingunge Ngombale Mwiru akipitia taarifa toka katika moja ya kamati ya Bunge hilo leo Septemba 8, 2014 Bungeni mjini Dodoma.

Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Augustino Mrema (kushoto) pamoja na Steven Wasira wakiteta jambo wakati wa Bunge hiloleo Septemba 8, 2014 Bungeni mjini Dodoma.

Makamu Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Samia Suluhu Hassan (kulia) akijadiliana na Mzee Kingunge Ngomale Mwiru wakati wa Bunge hilo leo Septemba 8, 2014 Bungeni mjini Dodoma.

Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba wakifuatilia uwasilishwaji wa taarifa toka kamati mbalimbali za Bunge hilo leo Septemba 8, 2014 Bungeni mjini Dodoma.

Baadhi ya wageni waalikwa walio hudhuria uwasilishwaji wa taarifa katika Bunge Maalum la Katiba leo Septemba 8, 2014 Bungeni mjini Dodoma.